Tunaweka na kusanidi mageti ya kiotomatiki ya kisasa. Kutoka sliding hadi swing gates — kwa remote, keypad, na integration na CCTV.
Remote • Keypad • App • CCTV
Remote
Keypad
CCTV
400+
Gates Installed
1000+
Remotes
99%
Satisfaction
24/7
Support
Urahisi, usalama, na teknolojia ya kisasa kwa mlango wako
Fungua gate bila kushuka gari — kwa remote
Sensor zinazuia gate kufunga kama kuna kitu
Fungua gate popote ulipo kwa simu
Motor za kisasa zinadumu miaka mingi
Tunatoa aina mbalimbali kulingana na gate yako
Kwa mageti yanayoteleza kando. Bora kwa nafasi ndogo.
Kwa mageti yanayofunguka kama mlango. Bora kwa nyumbani.
Kwa mageti makubwa ya viwanda. Nguvu ya juu.
Inatumia solar — bora kwa maeneo yasiyo na umeme.
Inaunganishwa na simu. Fungua kwa app popote.
Remote, keypad, na intercom kwa udhibiti kamili.
Sensor zinagundua kitu na kusimamisha gate
Fungua kwa remote au simu popote
Inafanya kazi hata umeme ukikatika
Alarm inalia kama gate inafunguliwa kwa nguvu
Weka code kufungua — bila remote
Huduma ya matengenezo na repair
Kuanzia ukaguzi hadi mafunzo
Tunakagua gate na eneo
Tunapanga muundo wa motor
Tunafunga motor na sensors
Tunajaribu remote na safety
Tunakufundisha kutumia
Chagua package inayofaa gate yako
Sliding Gate
Bei ya kuanzia
Dual Gate
Bei ya kuanzia
Bei zinaweza kubadilika kulingana na ukubwa wa gate
Tumekuwa kwenye tasnia kwa miaka mingi
Tunatumia motor za brand za kiwango cha juu
Bei zetu ni rafiki kwa mfukoni
Tunapatikana 24/7 kwa msaada
Vifaa vyote vina warranty
Tuma maelezo yako na tutakupa bei ya haraka
Ndiyo, tunaweka backup ya battery inayoruhusu gate kufunguka mara 20-30 baada ya umeme kukatika. Kwa muda mrefu, tunaweza kuweka solar.
Ndiyo! Tunaweka smart gate motors zinazounganishwa na Wi-Fi. Unaweza kufungua kwa app popote ulipo.
Ndiyo, ni muhimu sana! Sensor zinagundua kitu (mtu, gari, mnyama) na kusimamisha gate kabla ya kugusa. Hii inazuia ajali.
Kawaida ni siku 1-2 kwa gate moja. Kama ni gate kubwa au dual, inaweza kuchukua siku 2-3.
Inategemea aina ya gate na motor. Kwa gate ndogo, inaweza kuanzia TSh 400,000. Kwa gate kubwa au smart, inaweza kufika TSh 1,500,000+.
Ndiyo, tunatoa repair kwa motor zote — hata zile ambazo hazikufungwa na sisi. Tunatumia spare parts za brand.
Wasiliana nasi leo kwa nukuu ya bure na ushauri wa kitaalamu