Badilisha mfumo wa kadi za karatasi. Tuma kadi za harusi, birthday, send-off, na nyinginezo kwa njia ya kidijitali. Nzuri, za kisasa, na rahisi kufikisha kwa watu wengi kwa wakati mmoja.
Tunatengeneza kadi za kidijitali zinazokidhi mahitaji ya sherehe yako. Zote zina muundo wa kuvutia na sauti (music) ya kufurahisha.
Kadi za kualika ndoa zenye video na picha za kuvutia.
Kadi za siku ya kuzaliwa kwa watoto na wakubwa.
Kadi za kumuaga mtu kabla ya safari au ndoa.
Kadi za kualika kwenye sherehe za kuhitimu.
Kadi za kukaribisha wageni kwenye sherehe za mtoto.
Kadi za kutoa taarifa za msiba kwa heshima.
Kadi za biashara za kidijitali zenye links zote muhimu.
Kadi za kukaribisha watu kwenye semina, makan ya kazi n.k.
Hakuna App ya kupakua. Mteja anabonyeza link na kadi inafunguka moja kwa moja kwenye simu yake.
Tuchague pamoja muundo unaokupendeza kutoka kwenye templates zetu au tuletee wazo lako.
Tupe majina, tarehe, mahali, na picha/video unazotaka ziwe kwenye kadi.
Tunatengeneza kadi yako nzuri ya kidijitali na kukuonyesha kwa ajili ya marekebisho.
Tunakupa link maalum. Tuma kwa marafiki, familia na wageni kupitia WhatsApp au Social Media.
Kadi inafunguka na muziki wa kupendeza unaoendana na aina ya sherehe yako.
Wageni wanaweza kubonyeza kitufe na kuelekezwa moja kwa moja mahali sherehe inafanyikia.
Weka picha zenu nzuri za engagement au video fupi ya kuwakaribisha wageni.
Saa inayohesabu siku zilizobaki hadi siku ya sherehe kuu.
Wageni wanaweza kuthibitisha kuhudhuria (RSVP) moja kwa moja kupitia kadi.
Kadi inaonekana vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta. Haina usumbufu.
Tunatoa vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji yako. Wasiliana nasi kupata bei rafiki.
Bora Zaidi