Tunatengeneza logo, mabango, kadi za biashara na zaidi. Ubunifu wa kuvutia unaofanya biashara yako ionekane ya kisasa na ya kitaalamu.
50+
Miundo
35+
Wateja Wenye Furaha
24H
Utoaji
4.9/5
Kiwango
Design nzuri inafanya biashara yako ionekane ya kitaalamu
Design nzuri inavuta macho ya wateja wako
Biashara yenye design nzuri inaaminika zaidi
Design nzuri inaongeza mauzo kwa 30%+
Wateja wanakumbuka brand yako kwa urahisi
Logo ya kipekee inayowakilisha brand yako
Kadi za biashara za kisasa na za kuvutia
Mabango na vipeperushi vya matangazo
Banners za mitandao na matangazo ya nje
Rangi, fonts, na miongozo ya brand
Brochures za kampuni na bidhaa
Tunatengeneza Kadi za Kidijitali (Digital Business Cards) zinazokupa wepesi wa kushiriki taarifa zako kwa sekunde moja. Badala ya kuchapisha kadi za karatasi, tunakuundia kadi nzuri ya kidijitali unayoweza kuituma kwa WhatsApp, SMS, au Email.
Kuanzia wazo hadi design kamili
Chagua package inayofaa mahitaji yako
Brand Kit
Full Brand
Bei zinaweza kubadilika kulingana na ugumu wa kazi
Brand Identity
Digital Business Card
Marketing Material
Outdoor Advertising
Complete Identity
Company Profile
Design zetu ni za kipekee — hazina copy
Tunabadilisha hadi utakapo ridhika
Tunakupa design kwa wakati
Unapata AI, PSD, PNG, JPG, PDF
Tunapatikana 24/7 kwa msaada
Tuma maelezo yako na tutakupa bei ya haraka
Kawaida ni siku 3-5 kwa logo. Kama unahitaji haraka, tunaweza kufanya siku 2 kwa ada ya ziada. Tunatoa updates kila siku.
Kwa package ya Basic, unapata revisions 3. Kwa Standard na Premium, unapata revisions unlimited hadi utakapo ridhika.
Unapata files zote: AI, PSD, PNG, JPG, PDF, SVG. Kwa logo, unapata versions za rangi tofauti.
Ndiyo! Design zote ni za kipekee — hazina copy ya mtu yeyote. Tunatumia inspiration lakini design ni ya kwako pekee.
DJ eCARD ni Kadi ya Biashara ya Kidijitali. Ni ukurasa mdogo wa mtandaoni unaoonyesha taarifa zako zote za biashara, unaoweza kushiriki kwa WhatsApp au SMS kwa mbofyo mmoja.
Ndiyo, unaweza kuomba mabadiliko madogo. Kwa mabadiliko makubwa, kuna ada ndogo.
Wasiliana nasi leo kwa nukuu ya bure na ushauri wa kitaalamu